Hii nyumba ni kalli Sana ina uzwa bei nzuri Sana tsh mil (95) Eneo lime pimwa na Ina Hattie miliki title did Ukubwa wa eneo sqm (800),Vyumba vinne vya kulala kimoja ni master bedroom Nyumba kalli Sana mdau wangu ipo meter (300) tu kutoka bar bar kuu ya Rami,Nyumba ina kisima Cha maji ina cctv camera ina nyaya za umeme kwenye fence can Nyumba ime nyooka sana ime kamilika ina kila kitu 0759203175. 0652618143
$47,000